BASI UNAAMBIWA HIZI NDIO PICHA ZA PARTY YA NYAMA CHOMA YA SAFARI LAGER HAPA LEADERS CLUB KINONDONI SASA HIVI.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Mi bado niko hapa mtu wangu wa nguvu, kitu wamenifurahisha ni kwamba hakuna kiingilio… ni time nzuri ya kukutana na kula hizi nyama choma za bar zinazoshindania milioni 4 kwa ubora wa kuchoma nyama!!!!
Hii ndio stage yenyewe unaambiwa wakali African Stars Twanga Pepeta na wengine watakuepo hapa muda mfupi ujao

Comments