NICKI MINAJI ACHOMOKA NA BONGE LA PIKI PIKI AKIELEKEA SUPERMARKET. March 25, 2013 Paper na muamuzi wa American Idol "Nicki Minaji" ameTweet picha ikimuonyesha akiendesha bonge la piki piki aina ya "Kawasaki" huko California, huku akitupia maneno haya katika ukurasa wake wa Tweeter - "I'm big willy no bike gear,"

Paper na muamuzi wa American Idol "Nicki Minaji" ameTweet picha ikimuonyesha akiendesha bonge la piki piki aina ya "Kawasaki" huko California, huku akitupia maneno haya katika ukurasa wake wa Tweeter - "I'm big willy no bike gear

Comments