LADY JAYDEE AWACHANA TENA CLOUDS.....ANADAI KWAMBA MUNGU SI "RUGE" WALA "KUSAGA" SOMA HAPA




Baada ya kipindi kirefu cha kuongea kwa mafumbo dhidi ya wamiliki wa Clouds FM kuwanyonya wanamuziki akianzia na wimbo wake waJoto Hasira, mwanamuziki Judith Wambura ameendelea kuishambulia redio hiyo na leo Jumapili ameamua kufunguka kwa kuwachana live wamiliki wa redio hiyo.

Hii ni post yake aliyoipost twitter:

Lady JayDee ‏@JideJaydee 1h Naamini kabisa kuwa Mungu sio Ruge wala Kusaga. Atanisimamia kwenye hili #Confidence

Comments