CHEKI JAMAA AKIMPIGA MPENZI WAKE KISA SIMU HALAFU ETI NI MAPENZI YA DHATI




Nilikuwa na mahusiano na jamaa mmoja dah huyu jamaa alikuwa ananipenda kweli kusema kweli ,ila tatizo lake ni kipigo alishanipa mkongoto wa haja kama mara tatu hivialinipa kipigo jamani siku moja kidogo nife nikaona cha kujifiayaani nilipigwa siku hiyo duh nikamwambia mother nimeanguka kwenye mti wa parachichi ilikuwa maafatatizo ilikuwa ni simu tu jamani kiukweli nilikuwa nachat chati na mwanaume mwingine ila alikuwa sio mpenzi wangu.jamaa alikuwa anamind simu yangu sijui vile aliinunua...nilichezea vichapo sio kidogo.at last nikamkimbia ila nimenotice mwanaume /mke anaekupiga ana upendo wa kweli hawezi kuishi bila wewe so anatumia any defenceve mechanism kukukeep!  fight for your love !...Au unasemaje Mdau?

Comments