CLOUDS FM YAKANUSHA KUHUSU MWANA FA KUAHIRISHA SHOW YAKE YA THE FINEST LEO HII..

 


Clouds FM yakanusha KUHUSU  MWANA FA  KUAHIRISHA SHOW YAKE  YA THE FINEST  LEO HII.Baada ya  mtandao Feki wa facebook utumiao jina lake kuandika kuwa show hiyo  imeahirishwa kutokana na msiba wa msanii Langa kufariki jana katika hospitali ya taifa ya muhimbili

Comments