MSANII 'JACK WA MAISHA PLUS' AANIKA NYETI ZAKE HADHARANI......AVAA KIMINI BILA CHUPI NDANI..!CHEKI PICHA ZAKE HAPA


MSANII wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvaa kigauni ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi sehemu zake nyeti. 


Jack akiwa kaacha zake nnje (sehemu iliyozibwa).
Tukio hilo lilinaswa na mwandishi  wetu wa JAMIILEO TZ.BLOGSPOT.COM ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro, Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa Shindano la Kigori wa Tanzania ambapo Jack alikuwa ameongozana na rafiki yake, jina lake halikufahamika.

Akiwa ukumbini hapo, mwanadashosti huyo aliyeonekana kula kilevi cha bei mbaya, alikuwa akiwatoa udenda wanaume kutokana na kigauni chake hicho kifupi hadi wengine kufikia hatua ya kumchana kuwa, alijichoresha kwa kutovaa ‘kufuli’.
 
“Huyu naye! Ndo nini sasa kutovaa kufuli kwenye kadamnasi? Wasanii wetu bwana,” alisikika kijana mmoja huku Jack akionesha kutojali.

Comments