SHOW YA MWANA FA YADODA WATU WOTE WAKIMBILIA KWA JIDE.... HIZI NI PICHA NA VIDEO ZA SHOW YA MWANA FA



Dully Sykes Na Mwana FA Katika Usiku Wa The Finest Kama Zamani @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam. 
Mwana FA On Stage @ Makumbusho Ya Taifa "The Finest" Kama Zamani. 
Linah, Mwana FA Na Maua On Stage @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam. 
Wahudhuriaji wa "The Finest" Kama Zamani wakiwa wanaenjoy burudani classic kutoka kwa Mwana FA. 

Asma Makau, Jojo, Shadee & A Friend Wakiwa Nje Ya Ukumbi Wa Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam Wakiingia ndani kwa ajili ya "The Finest" Kama Zamani Ijumaa 14/6/2013. 
Vanessa Mdee na Dozen katika viwanja vya Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam kabla ya "The Finest" Kama Zamani Show. 



V

Comments