DJ KHALED KUMUOA NICKI MINAJ...!! DJ KHALED HAAMBIWI HASIKII KWA MREMBO HUYU.soma hapa



Mtu mzima Dj Khaled ameshindwa kukaa na la moyoni kwa muda mrefu sasa ameamua aweke wazi kuwa anataka kumchukua jumla jumla (kumuoa) Nicki Minaj na yupo tayari kwani anujua yeye ndiye mwanaume anaefaa kuwa na Nicki, Katika maneno yake Dj Khaled alisema alitamani kumwambia ukweli Nicki Minaja tangu mwaka jana ila alishindwa lakini leo ndo kaamua kusema ukweli..

Nicki Minaj

Comments