IRENE UWOYA AANGUKIA KWENYE PENZI LA MSANII WA KONGO FERRE GOLA soma hapa



Irene Uwoya hivi karibuni amebadilisha jina lake la instagram na kuanza kujiita Irenewaferegola8. Kama ulikuwa hujui Feregola8 ni msanii mkubwa kama Farry Ipupa huko Congo. Hatujajua kama irene uwoya na Ferre gola ni marafiki wapya au Irene Uwoya ni moja kati ya mashabiki wakubwa wa mwanamuziki wa Congo Ferre Gola

Comments