MJUE YOUNG PRODUCER AND SINGER DANIEL MWAKYOMA A.K.A.DANNY LOVE(LOVE MAKER RECODS producer)


GOOD MUSIC IS COMING SOON 
 Mbeya city boy Danny love katika pooooozzzzz

Jina halisi anaitwa Daniel Mwakyoma mzawa wa Jiji la  Mbeya,ambako ndiko alikoanzia kujishughulisha na muziki toka alipokuwa primary(majengo primary) wakiwa watu sita wakijiita Majengo camp 2005.

 DANNY LOVE
Danny love  akiwa home akicheza na piano
Mwaka huo huo Majengo camp walishiriki katika kutafuta kinara wa hip hop Mfalme wa rhymes chini ya TASHA PROMOTION jijini Mbeya kukiwa na makundi zaidi ya hamsini danny love akiwa na kundi lake walifanikiwa kuchukua tuzo hiyo.
Majengo camp ilivunjika na baadaye Danny love akaungana na mshkaji wake wa kitambo stive brown(mismamo) na kuunda kundi jipya la watu wawili tu VOICE GREAT TIGHT (V.G.T)
2007 Danny love & Stive brown walirekodi ngoma yao as a team iliyoitwa Unajua chini ya Producer mkongwe Mbeya Bj zee ktk studio za jam vibes records na nyimbo nyingine ktk studio tofauti kama Mbeya records,H-records,Mnyavinga na mashada inc production chini ya producer losso.
    2010 danny love alisafiri mpaka Kibaha pwani kusalimia ndugu na jamaa ambako alikutana na naseeb ambaye alitambua uwezo wa Danny love na kugonga nae ngoma moja ndani ya A.M records.
   Mwaka 2013 Danny love aliamua ajihusishe na mambo ya music  production  ktk chuo cha sanaa bagamoyo,danny pia alijifunza uchanganyaji sauti(mixing) na jinsi ya kufanya beats.
Danny love alikwenda Arusha ambako ndiko yupo mpaka sasa akisomea Journalism(ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE).
DANNY LOVE KATI,BIG HIM KUSHOTO NA FRANCE KATIKA MOJA YA EXCLUSSIVE VIDEO(NOT ADDICTED)
Hivi sasa akiwa jijini Arusha akimiliki studio inayofanya vizuri kaskazini mwa Tanzania LOVE MAKER RECORDS ambayo mpaka sasa inamiliki wasanii tisa wakiwepo,H-KASS.MULLY,SIDE TONIC,DULLUH MTATA,DOUBLE THE BEST,

Comments