WIMBO WA BEN POL JIKUBALI WALETA TAFARANI CLOUDS FM zaidi soma hapa...



Mdakuzi wako leo wakati nasikiliza kipindi cha Power Breakfast, Gerald hando amesema amechukizwa na Mwanamuziki Ben Pol kucopy na Kupaste wimbo wake mpya unaotamba kwa sasa wa JIKUBALI kutoka kwa Wimbo wa Script Feat Wiliam Am unaoitwa Hall of Fame....Gerald Hando aliyasema kuwa hata piga huo wimbo katika kipindi chake cha Power Breakfast...Hii ilikuja baada ya Msikilizaji kuandika Massage akiponda Ben Pol kukopy na kupaste ambapo Gerald nae alikandamizia kwa kumsaport..

Comments