ANGALIA PICHA ZA MAJAMBAZI WALIOPIGWA RISASI KATIKA KITUO CHA MAFUTA GBP MWANZA.

Mmoja wa majambazi waliouawa jana kwenye kituo cha mafuta GBP Mwanza jana majira ya saa 2 usiku.

Tumezipata taharifa hizi kutokwa kwa moja wa wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha GBP Mwanza ambapo majambazi hawa walijalibu kuvamia ili kuiba.Ndugu Mohamed Sleyim Naddabi alisema,

"Jambazi hili lilikuwa limeshika panga.Mwenzake aliyekuwa na SMG alipoanguka huyu akaelekea mbio kuichukua lakini akapambana na risasi ya polisi naye akagalagala chini."

 pichani lilikuwa na SMG.Lilitoka kwenye gari likapiga risasi juu na kuanza kuelekea alipo Mhudumu wa pampu.Kidogo lilisita baada ya kuona kushoto kwake mita kama 15 hivi kuna mtu mwenye silaha ambaye ni polisi aliyevaa kiraia.Lilipotaka kumlenga yule polisi alifyatua risasi iliyolenga sahihi kabisa na kichwa chake!"

Comments