HIVI NDIVYO VILIO VILIVYOTAWALA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU KANUMBA





Akihubiri katika ibada hiyo, mchungaji wa kanisa hilo, Ambikisye Lusekelo alimpongeza mama Kanumba kwa kukumbuka kumshukuru Mungu kwa kifo cha mwanaye, tofauti na watu wengine wanaofiwa na wapendwa wao kubaki wakilia tu majumbani au mitaani.

Alisema wengine husahau kwamba maneno matakatifu yanasema washukuru kwa kila jambo na kufa ni lazima kwa kila binadamu kikubwa ni kila mmoja kujiweka tayari kwa kuwa karibu na Mungu.
Katika ibada hiyo, mastaa waliohudhuria walikuwa ni wachache akiwemo Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’ na Kajala Masanja.














Comments