Kwa kipindi hiki vitendo vinavyoenda kinyume na maadili ya Kiafrika zinaonekana kushamiri kwa kasi sana,
imejitokeza tabia ya wasichana kuacha kufanya
mapenzi na wavulana badala yake wanafanya wenyewe kwa wenyewe. Yani
imekuwa kama fashion vile na wenyewe wanakwambia wanakwenda na wakati
hivyo dunia ya kale si hii ya sasa.
Sio siri tena maana sasa hivi hata ukienda kwenye kumbi za starehe hutoshangaa kuona wasichana hao wakifanya yao hadharani
|
Comments
Post a Comment