Absalom Kibanda Atuma Salamu kwa Watanzania

Kibanda atuma salamu kwa Watanzania. Hope all is well. Salamu nyingi saaana toka JBG!
I could not resist! Yes I cried! But Absalom is the same person I knew last two months! Amesimama! Mungu ni Mwema!!!
Anaomba watanzania wamwombee na amesema anaendelea vizuri kwa sasa…
Cheers,
Hoyce Temu.

Comments