Baada
ya Mziki kukolea Msanii Akimuita shabiki stajini ili wacheze naye
lakini mambo yalikolea zaidi pale walipojikuta wana kisiana stejini kitu
kilichosababisha minongono kwa mashabiki
Taratibu walianza kama utani mara ndimi zao zikagusana ghafla demu
akanyoosha mikono yake na kuanza kumkumbatia jamaa na shughuli ikaanza
jambo liliwashangaza mashabiki huku wakipiga kelele kwa kushangilia
Kelele zilipozidi jamaa alivua nguo ya juu na kujifunika na kuendelea
kula mate kama kawa watu walizidi kushangili huku baadhi ya wanawake
walisikika wakisema kuwa mwanamke yule kwadhalilisha sana kwa kitendo
kile na wamemtaka kuwaomba radhi kwani hata kama ni ushabiki sio wa
kihivyo,wengine wamesikika wakimponda msanii mwenyewe na kudai
hajiheshimu kwani mwanamke ndio kwanza unamuona leo hujui anatoka wapi
hujui kama ni malaya unakurupuka na kuanza kumla mate.
Taarifa zinazidi kusema mara baada ya shoo ile watu waliwaona wawili hao
wakiwa pamoja kama watu waliojuana miaka kumi iliyopita na hata wakati
wakuondoka waliondoka pamoja bila kufafanua walitumia usafiri wa pamoja
au ilikuwaje mapaparazi wetu wa the superstarstz bado wanafutilia swala
hili kiundani na tutawaletea zaidi kwani hii ndio kazi yetu kukujulisha
juu ya maisha halisi ya ndani na nnje ya mastaa
Comments
Post a Comment