ANGALIA PICHA HIZI MWANAMKE HUYU ALIYEOKOTWA AKIWA AMEKUFA HUKO MOROGORO
WANANCHI WAOMBWA KWENDA KUANGALIA MAITI YA MWANAMKE HUYO
Maiti ya Mwanamke imeokotwa kwenye mashamba ya mkonge Mkoani morogoro.Taarifa zaidi zinasema mwili huo uliokotwa machi 2 mwaka huu katika mashamba hayo ya mkonge alikutwa amenyongwa kwa kutumia nguo.
Jeshi
la polisi wameomba wananchi wa mkoani hapa kufika katika chumba cha
kuhifadhia maiti ili kuangalia mwili wa mwanamke huyo ambaye bado hajafahamika na ambaye
aliuawa kisha mwili wake kutelekezwa kwenye mashamba ya mikonge nje
kidogo ya mji Morogoro.
Taarifa zaidi zinasema kuwa baada ya polisi kufika katika eneo la tukio na kuukagua mwili huo waligundua sehemu ya shingoni mwanamke huyo alikuwa na majeraha,,, Mwandishi wa blogu hii ana muomba mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amin

Comments
Post a Comment