ANGALIA PICHA ZA HUYU MTOTO WA MIAKA 8 ALIYEMUOA HUYU MWANAMKE WA MIAKA 61.
Huyu mtoto anasema wazee wa
zamani ndio walimuamrisha aoe lakini pamoja na hilo, hawajasaini cheti
cha ndoa na wala hawaishi pamoja ambapo wazazi wa huyu bwana harusi
walichangia harusi kwa kutoa euro 1500 ambazo walisisitiza ni kama
matambiko na sio kisheria
.
Mtoto huyu aitwae Sanele amekaririwa akisema “nilimwambia mama yangu, nahitaji kweli kuoa na nimefurahi nimemuoa Helen lakini nikikua nitaoa mwanamke wa umri wangu”
Mama mzazi wa Sanale anasema “babu yake ndio alimchangulia Sanale amuoe Helen kwa sababu yeye(Babu) anampenda, na wamefanya hivyo ili kutimiza maagizo ya wazee wa koo ambao wameshafariki, yani ni kama matambiko”

Comments
Post a Comment