ANGALIA PICHA ZA MILIPUKO NIGERIA

.Milipuko ya mabomu Nigeria bado inaendelea, huko Maiduguri zikiwa hazijapita hata saa 24 toka Rais Goodluck Jonathan aondoke eneo hilo alilohudhuria, imetokea milipuko saba ambayo imepishana kwa dakika chache, bado mpaka sasa haijafahamika idadi yawaliojeruhiwa walakuuawa

Comments

Popular Posts