ANGALIE HAPA PICHA ZILIZOFANYA WADAU WENGI KUZUSHA KUWA HUYU NI MPENZI WA MSANII AMINI KUTOKA THT



ANGALIE HAPA PICHA ZILIZOFANYA WADAU WENGI KUZUSHA KUWA HUYU NI MPENZI WA MSANII AMINI KUTOKA THT ambapo amini amekanusha vikali ripoti hizo na kudai kuwa ni uongo pia msichana huyo nae kafunguka hivi Kupitia facebook Naitwa Saynag Ni Msanii wa Extra Bongo Tanzania. Leo Mapema Aliandika Kwenye Ukurasa Wake Wa Facebook Kuwa Hana Mahusiano Yoyote Na Msanii Mwenzake Amini Wa THT Na Ni Marafiki Tu

Comments

Popular Posts