Bifu kati ya waigizaji wawili Sintah na Rayuu halionekani kuisha leo
wala kesho, wasanii hao wametupiana tena maneno makavu Sinta kama
kawaida yake akiwa ndiye kalianzisha kwa kuweka picha ya Rayuu katika
blog yake aliyochora tattoo mgongoni hivi karibuni na kuandika kichwa
cha habari sambamba na picha hiyo kisemacho "KIRARU RARU ANATAKA NINI
HASWA" halafu
kuandika "ni nani huyu??
Daah umaarufu hauji hivihivi bwana bila kujitoa muhanga, sitochoka kumsahisha maana hii ni website pekee isiyo na ufagio, ukifanya mazuri tutaku support na ukifanya mabaya tutakuchana. mtambo
wa kurekebisha tabia (sintah.com)". Hata hivyo wachangiaji wengi katika
blog ya Sintah walionekana kumtetea Rayuu kuwa picha yake haina tatizo
kwa kuwa ameonyesha tattoo yake mgongani na siyo kukaa uchi. Wengi waliishia kuandika comment za kumtukana Sintah.
Kwa upande mwingine Rayuu alijibu mapigo kupitia facebook kwa kuandika hivi
Comments
Post a Comment