BRAND NEW TRACK TOKA ARACHUGA KWA JORDAN





Nilikutana na Jordan miaka mitano iliyopita,"bro,mi naweza sana,naomba tufanye kazi pamoja",haya ndo maneno ya kwanza aliyosema baada ya kuingia studio,aliomba dk chache nimskilize kabla sijaamua chochote,alikua one of the best then na hata leo baada ya kupoteana kwa kipindi chote ambacho nimekua masomoni bado Jordan ni one of the best singers I've ever come across,nawashukuru wote wanaotusupport katika safari hii tuliyoianza,nashukuru pia fans wote kwa mapokezi wanayoyaonesha kwetu,tuna mengi ambayo tayari tumeyaandaa kwaajili yenu,kwa niaba ya Jordan na Grandmaster,naahidi hatutawalet down,we got lotsa love for ya,tunashukuru kwa kutupa moyo na kwa kutufikisha tulipo-John Blass(John B), Grandmaster Records Arusha

Comments