CHECK OUT VIMBWANGA VYA MASTAA ULAYA

Ray J juzi kati alijikuta kwenye wakati Mgumu na Kushindwa kuvumilia
na kuamua kurusha makonde ya ngumi kwa mwanamke aliemtusi...
Tukio Hilo lilitokea Ray J alipowasili Nokia tower kwa ajili ya Interview,
ndo kukutwa na maswahiba hayo Baada ya Mdada Mmoja kutoka atokako
na kuanza kumshambulia kwa matusi ya nguoni Ray J aliekuwa akiingia Mjengoni....
Jambo Ilo akuweza kulivumilia na kuamua kujibizana na mwishowe
Ray J Kumsukuma na purukushani za hapa na pale...!!
Mtandao Mmoja wa Udaku ulipomvutia waya Ray J kumuhuliza
Juu ya tukio Hilo..aliishia kutukana kwenye Simu...

Staa Huyo ambae meusishwa kujirusha na kudondosha kitandani
na mastaa kadha uko Majuu akiwemo,Kim Kardashian,Marehemu
Whitney Huston na Nk.

Comments