ELIZABETH MICHAEL ASABABISHA MAUAJI YA WANAUME WAWILI.
..
Elizabeth ambaye ni maarufu kwa jina la Lulu wa Mbeya ambaye kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, ACP Diwani Athmani, ni muuza pombe za kienyeji katika klabu iitwayo Musoma iliyopo Itiji, Mbeya. Kamanda Diwani alisema chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa kimapenzi baada ya Peter kumfuma Daniel akiwa nyumbani kwa mwanamke huyo ambapo aliwafungia mlango kwa nje na kwenda kutafuta kisu alichokitumia kumuua mwenzak |


Comments
Post a Comment