EXCLUSIVE PICHA ZA SEAN KINGSTON ALIVYOWASHIRIKISHA CRIS BROWN NA WIZ KHALIF KATIKA VIDEO YAKE YA ''BEAT IT''



Hizi ni baadhi ya picha za wakati wa kutengeneza video ya wimbo wa "Beat It" wa msanii Sean Kingston ambapo amewashirikisha Wiz Khalifa na Chris Brown wakiwa sehemu za ufukweni.

SEAN KINGSTON NA WIZ KHALIFA
CHRIS BROWN NA SEAN KINGSTON

Comments