HII NDIO LOCATION YA JUMAPILI HII MTU WANGU WA NGUVU
Kwa kawaida huwa ni nadra sana
kuweka post kama hizi kwenye blogu yetu hii lakini mpaka uone nimeiweka
basi jua kuna uzito mtu wangu wa nguvu
.
Nakumbuka kwenye Mashindano yaliyopita ya Nyama Choma nilikutana na mashabiki wangu wengi sana, tulipiga stori, nikapata mawazo mapya, nikajua wananipokeaje na mambo mengine kama hayo.
This time nimefurahi kuona Fainali za mashindano ya Nyama Choma zinafanyika jumapili ya March 10, ni kitu poa sana watu wangu wa nguvu, nauhakika tutaonana pale kwenye viwanja vya Leaders Club kwenye hii party nzuri isiyo na kiingilio.
Hii siku nyama choma nzuri pia itapatikana kwa sababu baa zote zinashindana kuchoma nyama nzuri, itakua safi sana na nimeambiwa washindi wanapata milioni nne.

Comments
Post a Comment