Kijana aliyejichoma moto afariki Tunisia
ramani ya Tunisia
Mtu mmoja aliyejichoma moto
mjini Tunis amefariki kutokana na majeraha yake. Daktari aliyekuwa
akimhudumia Adel Khadri amesema kuwa alifariki mapema Jumatano asubuhi
.Bwana Khadri alijichoma moto katika mji mkuu wa Tunis siku ya Jumanne akilalamikia ukosefu wa ajira. Alikuwa akiiga mfano wa mtu mwingine Mohamed Bouaziz aliyejiua na kusababisha mzozo mkubwa ulioleta mageuzi ya mataifa ya arabia miaka miwili iliyopita.
bendera ya tunisia

Comments
Post a Comment