KIJIJINI RAHA SANA JAMANI
![]() |
| Watoto wakicheza na kufurahi hata kama vifaa vyao sio vya kisasa lakini maisha yanaendelea. Lakini mmi nimekumbuka mbali sana sana, yaani waliokuwa na uwezo wa kutengeneza hivi vifaa walikua wanasujudiwa na wenzao, sasa kule kwetu ili upande hiki lazima utoe makome au matunda yaliyo kwenye msimu kwa idadi utakayoambiwa na mwenye gari.. tuliita vifaa hivi KITOTORO AU APOLO |


Comments
Post a Comment