KUNDI LA SAUTI SOL MUZIKI KUPEFOMS LIVE LAGOS NDANI YA INAUGRAL VIEWERS CHOICE AWARDS.
Kundi la muziki nchini Kenya linalofanya vizuri
sana Africa Mashariki linalojulikana kama Sauti Sol linatarajia kusafiri kuelekea jijini
Lagos nchini Nigeria kuipeperusha bendera ya taifa la Kenya katika tamasha linalojulikana kama Inaugral
Viewers’ Choice Awards litakalofanyika jumamosi hii nchini Nigeria.
Sherehe hizo zitasindiikizwa na magwiji wa muziki barani
Afrika kama Femi Kuti, Tiwa Savage,
Chidinma na wengineo wengi.

Comments
Post a Comment