LADY GAGA AVUNJA REKODI NDANI YA MTANADO WA TWITTER
.
Mmwanamziki asiyeishiwa na vituko Lady Gaga ameonekana
kukubalika na mashabiki kwa kuwa na followers wengi wapatao 34,918,249 kwenye
mtandao wa Twitter
Hali hiyo imesababishwa kuonekana kuwa na wafuasi wengi zaidi
ya waimbaji wenzie huku akionekana pia kumzidi rais wa Marekani ambaye yeye
anaonekana kuwa na folllowers 28,185,757

Comments
Post a Comment