MKE WA MTU AZIANIKA PICHA ZAKE ZA UCHI KATIKA MTANDAO WA FACEBOOK...NI AIBU KUZIONA INASIKITISHA

Ama
kwa hakika hivi sasa dunia ni kama haina tena hamu na sisi wanadamu
kwani tumejikuta tukifanya mambo ambayo hata wanyama ni aghalabu sana
kufanya.
Matukio
ni mengi sana hata mengine hayafai kuandikwa hapa Jamiileotz
imekuwa ikipokea picha za uchi za wake za watu na waume za watu ambao
hupigwa na mahawara zao kwa lengo la kutaka penzi au pesa na anapokosa
huzivujisha picha hizo kwa vyombo vya habari.
Ila
habari hii imenistua kidogo kwani mwanamke huyu asiyekuwa na hata
chembe ya aibu aliamua kuzitundika picha zake kwenye mtandao wa facebook
kwa madai kuwa mumewe hayupo na wala hana mpango na facebook kwa hiyo
hawezi kuziona picha hizo chafu na zinazotia kinyaa,ambazo zimeshuhudiwa
na jamiileotz na kushindwa kuziweka hapa.
Kitu
cha kujiuliza ni kwamba hata kama huyo mwanume haingii facebook
inamaana hana marafiki au ndugu ambao wapo facebook wakamuambia
anayoyafanya mkewe? na kitu kingine hadi mwanamke tena mke wa mtu ufikie
kuweka picha kama hizo unatafuta nini wakati umeolewa je unataka
kumuonyesha nani mwili wako na una muonyesha ili iweje wakati mume wako
yupo.
Baada
ya kuona picha hizo jamileotz ilijiunga urafiki nae hadi kufikia
kupata namba ya simu na ilipomsomaea kesi yake kwanza alicheka bila
wasi wasi na kusema Nikuambie kitu kaka hizo
picha ni zangu kweli lakini wala sijapiga kwa lengo baya ninapenda sana
kupiga picha za nusu uchi na kama sheria ingeruhusu ningepiga za uchi
kabisa kwani ndio hobi yangu jamiileotz haikuishia hapo ilitaka kujua kama mumewe akiziona itakuwaje mwanamke huyo alijibu kwa kujiamini Kwanza
mume wangu hayupo na wala haitaki facebook na hawezi kuziona na
akiziona au akiambiwa hapo nitajua cha kufanya ila kwa sasa sina jibu
kwasababu hajaziona
- Get link
- X
- Other Apps

Comments
Post a Comment