MSANII WA HIP HOP ARUSHA - "GENTRIEZ" AWATAHADHARISHA MASHABIKI WAKE WA "USA RIVER ARUSHA" KUEPUKANA NA MAPROMOTER FAKE WANAOTUMIA JINA LAKE.
"Napenda
kuwafahamisha watu wangu wa usa river Arusha kuwa sinto kuwepo kwenye
show ya kesho ambayo inatangazwa kwenye PA (Public Announcement) pamoja
na posters.. Hao ni ma promoter fake".
"KUNA MAPROMOTER FAKE WAKO USA RIVER WAMEANDAA SHOW YAO NA KUTANGAZA MIMI NITAKUWEPO KWENYE HIYO SHOW NAPENDA KUWAFAHAMISHA WATU WANGU WA USA RIVER KUWA SITOKUWEPO KWENYE HIYO SHOW NA HAO MAPROMOTER NI FAKE TUNAFANYA UTARATIBU WA KUWATIA NGUVUNI.....TUNAOMBA UWAJULISHE NA WENGINE ONE LOVE MA PEOPLE..
Comments
Post a Comment