Mufti wa Zanzibar ataka uchunguzi juu ya mashambulizi ya kidini
Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar imeitolea wito serikali kufanya uchunguzi wa haraka mashambulizi yanayowalenga viongozi wa kidini visiwani Zanzibar,
Makala zinazohusiana
Zanzibar ni salama kwa wawekezaji na watalii, waziri asema
Viongozi wa dini Tanzania wataka uvumilivu baada ya ghasia ya kidini
Wafanya ghasia waharibu makanisa matatu jijini Dar es Salaam baada ya mtoto kunajisi Qur'an
Watumishi wa Tanzania wamtaka rais kusimamia vikundi vya kidini
Bado haijafahamika wazi ikiwa mashambulizi ya hivi karibuni yalikuwa ya kisiasa au kidini, alisema Kaimu Katibu wa Mufti, Sheikh Thabit Noman Jongo, kwenye sherehe za mahafali ya Jukwaa la Vijana kisiwani Unguja. Aliipongeza hatua ya Rais Jakaya Kikwete kualika wapelelezi kutoka nje kuwasaidia polisi wa huko kuchunguza kwa kina mauaji hayo.
Mwezi uliopita, Padri Evarist Mushi alipigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana nje ya kanisa lake. Vile vile Padri Ambrose Mkenda alipata majeruhi ya risasi jaribio la kumuua siku ya Krismasi na ulamaa wa Kiislamu Sheikh Fadhil Suleiman Soraga alishambuliwa kwa tindikali mwezi wa Novemba Jongo alisema matukio haya yanakiuka misingi ya Kiislamu. "Kwa mujibu wa Qur'an Tukufu, hairuhusiwi kuua bila ya sababu ... wataalamu lazima wafanye uchunguzi wa kina kujua chanzo cha matendo hayo," alisem
Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar imeitolea wito serikali kufanya uchunguzi wa haraka mashambulizi yanayowalenga viongozi wa kidini visiwani Zanzibar,
Bado haijafahamika wazi ikiwa mashambulizi ya hivi karibuni yalikuwa ya kisiasa au kidini, alisema Kaimu Katibu wa Mufti, Sheikh Thabit Noman Jongo, kwenye sherehe za mahafali ya Jukwaa la Vijana kisiwani Unguja. Aliipongeza hatua ya Rais Jakaya Kikwete kualika wapelelezi kutoka nje kuwasaidia polisi wa huko kuchunguza kwa kina mauaji hayo.
Mwezi uliopita, Padri Evarist Mushi alipigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana nje ya kanisa lake. Vile vile Padri Ambrose Mkenda alipata majeruhi ya risasi jaribio la kumuua siku ya Krismasi na ulamaa wa Kiislamu Sheikh Fadhil Suleiman Soraga alishambuliwa kwa tindikali mwezi wa Novemba
Jongo alisema matukio haya yanakiuka misingi ya Kiislamu. "Kwa mujibu wa Qur'an Tukufu, hairuhusiwi kuua bila ya sababu ... wataalamu lazima wafanye uchunguzi wa kina kujua chanzo cha matendo hayo," alisem

Comments
Post a Comment