NICK MINAJ AFUATA NYAYO ZA LIL WYNE SOMA HAPA HAPA STORY KAMILI.
Rapa Nicki Minaj ameweka wazi juu uzinduzi wa mtandao
wake wa mavazi uliopewa jina la Nicki Minaj Collection
Aliweka wazi uzinduzi huo kwa kufanya mkutano na
waandishi wa habari mjini Hollwood na alisema kuwa kwake ni kipindi muhimu
kuzindua mtandao huo wa mavazi na hizi ni baadhi ya maswali aliyo ulizwa na
wandishi wa habari na kujibu
It’s very important that I’m not just slapping my name on
something. It’s important that my fans are going to know that if Nicki is
putting it in her line, then Nicki is going to be wearing it. That’s why on
Shopyourway.com we are creating catalogs, and I get to see what my fans like,
and say ‘Hey I like that too.’ Right now it’s very real time, it’s very
personable.
Pia aliulizwa juu ya style mavazi ambayo yeye atawaletea Nick
minaji alikuwa na haya ya kusema.

Comments
Post a Comment