PICHA YA JAGUAR AKIWA NA RAIS UHURU KENYATTA

.
(Picha kutoka mtandao wa Ghafla)
Jaguar ni mmoja wa wasanii wa Kenya ambao walikula dili la kumfanyia kampeni mshindi wa Urais kwenye uchaguzi mkuu uliomalizika Uhuru Kenyatta.
Siku kadhaa baada ya Uhuru kushinda zilianza stori kwamba Jaguar ameahidiwa nafasi kwenye serikali ya Uhuru kutokana na kufanikisha lengo.
Jaguar akiongea na Mzazi William Tuva wa Citizen Tv/Radio alisema sio kweli kuhusu kuahidiwa nafasi ya uongozi ila yuko tayari kama ataitwa

Comments

Popular Posts