Polisi wa Mogadishu wakamata washukiwa 13 wa al-Shabaab

Vikosi vya usalama vya Somalia vimewakamata watu 13 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa al-Shabaab katika operesheni ya usalama kwenye wilaya ya Yaqshid mjini Mogadishu siku ya Jumatatu (tarehe 4 Machi).
  • Watu 13 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa al-Shabaab walikamatwa siku ya Jumatatu (tarehe 4 Machi) katika nyumba waliyokuwa wamejificha kwenye wilaya ya Yaqshid mjini Mogadishu. [Abdi Said/Sabahi] Watu 13 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa al-Shabaab walikamatwa siku ya Jumatatu (tarehe 4 Machi) katika nyumba waliyokuwa wamejificha kwenye wilaya ya Yaqshid mjini Mogadishu. [Abdi Said/Sabahi]
  • Polisi wakionesha silaha na vifaa vilivyokamatwa kutoka kwenye nyumba ya maficho ya al-Shabaab mjini Mogadishu siku ya Jumatatu (tarehe 4 Machi). [Abdi Said/Sabahi] Polisi wakionesha silaha na vifaa vilivyokamatwa kutoka kwenye nyumba ya maficho ya al-Shabaab mjini Mogadishu siku ya Jumatatu (tarehe 4 Machi). [Abdi Said/Sabahi

Comments

Popular Posts