Pombe na Mkutano wa Siasa Wapi na Wapi?
Jamani
uliona wapi pombe kali (konyagi) na mkutano wa siasa hii imetokea Bongo
(tena Dar es Salaam) kwenye mkutano wa CUF hivi karibuni ambapo mlemavu
huyu alikutwa akigida pombe aina ya konyagi huku mkutano ukiendelea

Comments
Post a Comment