|
The late Steven Kanumba |
Buzz is that sanamu ya popular Tanzanian actor Steven Kanumba
aliyefariki mwaka jana mwezi April inatarajiwa kuwekwa katika mji wa
kihistoria Bagamoyo ambao unajulikana dunia nzima. inasemekana kuwa
sanam hiyo yenye sura ya Kanumba itawekwa siku ya kuazimisha mwaka mmoja
wa kifo chake tangu afariki dunia 7 April 2012. Kanumba was a Tanzanian
actor and director who started to get international fame before his
sudden death which shocked his fans in Tanzania and all over Africa. If
the news is to be true hii itakuwa moja ya heshima nzuri ya kumuenzi
muigizaji huyo aliyetoa mchango mkubwa katika films za kitanzania ambao
utakumbukwa from generation to generation.
Comments
Post a Comment