SERENGETI BOY WA WEMA SEPETU HUYU HAPA...AONYESHA JEURI YA PESA KWA WEMA

Mrembo asiyeishiwa vituko na anayeongoza kwakutajwa na vyombo habari bongo ndaniWema Sepetu ameamu kuanzisha mahusiano mapya kwa kile kilichoelezwa kuchoshwa ni kujipoza na kulipa kisasi kwa DIAMOND
Wema amejikuta akinasa kwa kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Haidary Cavilla ambaye mwanzo jamaa huyo alikuwa ni mchumba wa marcy Galabawa aliyekuwa miss tanzania mwaka 2000.

Taarifa zinasema kuwa wema amenasa kwa Haidary kufuatia mkwanza mrefu alionao jamaa kilisema chanzo hicho kiukweli jamaa anamiliki mkwanja mrefu sana japo ni kijana mdogo sana kiumri inawezekana wema kampita kwa miaka mingi sana ila kutokana na pesa alizonazo dogo wema hajaangalia hicho yeye kaangalia pesa kiliendelea kutiririka chanzo hicho.
Ili kuonyesha jeuri ya pesa jamaa ameamua kumnunulia wema gari aina ya Q7 Aud jambo lililomchanganya wema,chanzo chetu ambacho kipo karibu na wawili hao kimesema Haidary amemnunulia wema gari hiyo iliyozidi bei gari ya diamond aina prado ili kumuonyesha diamond kuwa wema ni zaidi yake alisema mnyetishaji huyo
![]() |
| WEMA AKIWA KATIKA POZI |
Habari zina sema kuwa wema na serengeti boy wake wamepiga picha hizi wakiwa nymbani kwa wema sepetu na hatimaye mtu wao wa karibu kuzifujisha mtandaoni jambo lililomkera hidary japo kwa wema ilikuwa furaha kwani anaamini atakuwa amelipa kisasi kwa Diamond.
Kusema kweli kaka mimi nakaa na wema kwa karibu sana nachokuambia wema bado mapenzi yake yapo kwa diamond ila hana jinsi tu,,mimi binaafsi nimemuona mara nyingi akiumia sana juu kuachana kwake na diamond unajuwa wema ana mapenzi ya kweli na akipenda huwa hajifichi ia ana bahati mbaya aliowapenda wote hawajampenda kwa dhati labda huyu wa sasa tuombe mungu,,maana toka wameacha na diamond hapa katikati wema alikuwa kadata kila akisikia diamond yupo na huyu mara huyu wema alikuwa mtu wa mawazo tu kilisema chanzo chetu
![]() |
| WEMA AKIWA NA DIAMOND KATIKA PENZI ZITO |
Hawa ni baadhi ya wanaume waliowa kuvunja amri ya sita na mlimbwende huyu;
1.HERRY SAMIR,,,MR BLUE
3. MAREHEMU STEVEN KANUMBA
4.JUMBE YUSUPH ,, JUMBE
5.CHARLES GABRIEL,,CHAZ BABA
6.DIAMOND PLUTNUM
7. CLEMENT ( Bado wako pamoja)
8. HAIDARY CAVILLA,,ALIYENUNUA Q7
Na wengineo...... Ambao kwa haraka haraka hatujawanasa



Comments
Post a Comment