SWAGGA ZA KING ZILLAH.....50 CENT
Rapper kutoka Tanzania King Zillah ambae
yupo vizuri kwenye freestyle na kukonga nyoyo za mashabiki wake kwa
style yake ya kuchana kama 50, Pia ameweza kufananishwa na Rapper huyo
wa kundi la G-Unit 50 Cent kwa muonekano wa sura zao na baadhi ya
swagga. Mengi kuhusu King Zillah endelea kutembelea Blog yetu.


Comments
Post a Comment