
Uhalifu umefanyika kwenye kituo cha Polisi Jamii anakolilaza gari nyumbani kwao Tabata Bima.

.

.

.

.

Uhalifu umefanyika kwenye magari mawili, la Dully na hili la jirani yake.

Kurudishia
vifaa vilivyoibwa ni milioni mbili na nusu ambapo Dully imebidi anunue
vingine baada ya kugoma kununua vilevile vilivyoibiwa kwenye gari lake
manake jamaa walimpigia simu wakisema wanavyo.

.
Comments
Post a Comment