UJUMBE WA DAYNA KATIKA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Naitwa dayna nyange. mwanamuziki wa bongo freva. ni mwanamke wa
kitanzania. naungana na wanawake wengne duniani kote ktk kuhadhmisha cku
ya wanawake duniani. Nawashauri wanawake wenzangu juu ya kuji2ma
kufanya kaz ili kujipatia maendeleo bila kutegemea wanaume. Naamini
wenyewe 2naweza tena bila ata ya kuwezeshwa. Nakupitia siku hii muhmu
kwetu. naiomba serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhakikisha
inapambana vilivyo juu ya unyanyasaji wa kijinsia tunaoupata wanawake.
hasa ubakaji, ukeketaji na mauaji yanayoendelea zidi yetu, tunaiomba
serikali ihakikishe kwamba wahusika wa matukio kama hayo wanachukuliwa
hatua za haraka ili kukomesha maovu hayo. pia nijukumu la kila mwanamke
na Niwajibu wetu kina mama pia na jamii kwa jumla kupambana na majanga
haya. tushikamane kujiletea. Tupendandane tushikamane WANAWAKE
TUNAWEZA. by dayna nyange.

Comments
Post a Comment