UJUMBE WA MANDELA - RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA YA KUSINI BADO NI DAWA YA MATATIZO YETU YA KILA SIKU

.

Ujumbe huu unamaanisha kuwa "hakuna aliyezaliwa akiwa anamchukia mwenzake kwaajili ya rangi ya ngozi yake au historia yake ya nyuma au dini yake.

Watu hujifunza kuchukia na kama huweza kijifunza kuchukia basi pia wanaweza kufundishwa kupenda kwasababu upendo huwa ni asilia zaidi katika moyo wa mwanadamu kuliko kinyume chake

Comments

Popular Posts