UMEZIPATA KUHUSU NDOA Y MICHAEL JORDAN NA HUYU MREMBO STORI IKO HAPA
Stori kutoka kwenye ardhi ya
Obama ni kwamba staa wa Basketball duniani Michael Jordan na mchumba
wake mpya Yvette Prieto tayari wamekwenda West Palm Beach, FL courthouse
kuapply leseni au kibali cha kufunga ndoa.
Kwa Sheria za Florida, wanandoa hawa watarajiwa waliodumu kwa miaka mitatu watatakiwa kusubiri kwa siku 60 baada ya kuomba kibali ndio waweze kufunga ndoa ambayo Jordan aliipropose Christmas ya 2011
.
Kwa mujibu wa TMZ, hawa wapenzi wamepanga kuoana April 27 2013 ambapo itakua ni harusi ya kwanza kwa Prietto na harusi ya pili kwa Michael Jordan.
Jordan alikua na mke aitwae Juanita ambae waliishi kwa miaka 17 kabla ya talaka 2006 tayari wakiwa wamepata watoto watatu pamoja.

Comments
Post a Comment