UNAFAHAMU PRESIDENT KATAJA KIASI GANI KILICHOTENGWA KWA MIKOPO VYUONI MWAKA HUU? INGIA HAPA
.
Hii kauli ameitoa akiwa Morogoro kwenye uzinduzi wa jengo kwenye chuo kikuu cha Kiislamu ambapo kwenye sentensi nyingine, President alisema mikopo iliyotolewa kwa wanafunzi wa elimu ya juu mwaka 2005 ni bilioni 56 na kusisitiza kwamba bodi ya mikopo Tanzania inatakiwa kufatilia wahitimu wa vyuo vikuu walipe deni ili wengine wasaidiw

Comments
Post a Comment