UNATAKA KUJUA RAIS WA NIGERIA AMETOA KIASI GANI KUSAIDIA WAIGIZAJI? JIBU LIKO HAPA


Posted: 7th March 2013 by MillardAyo in News
0
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
. 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Wanigeria wakiwa kazini.
Imefahamika kwamba kiwango cha pesa alichotoa Rais Goodluck Jonathan wa Nigeria kwa ajili ya kusaidia mfuko wa waigizaji wa nchi hiyo ni milioni 30 za kitanzania
.
Nollywood ndio kimekua kiwanda cha kwanza cha filamu Afrika kuzalisha movie nyingi kuliko nchi nyingine yoyote Afrika lakini asilimia kubwa ya movie zake zimekua zikikosolewa kwa kukosa ubora.
Huo mpango wa Rais Goodluck uitwao ‘Project Nollywood’ utahusisha fedha kwa ajili ya kuwapa waandishi bora wa script pamoja na kusaidia miundombinu ya utengenezwaji wa filamu

Comments

Popular Posts