VIDEO NA PICHA ZA CHRIS BROWN AKIWA KWENYE STAGE NA WIZKID WA NIGERIA WAKIFANYA VITU.
Ni mara chache sana kwa wasanii
wakubwa wa muziki Marekani wanaotoa ushirikiano mzuri wakati wanapokuja
Afrika kupafom, sio tu ushirikiano mzuri bali hata kujichanganya na
wasanii wa Afrika wanaokuwepo kupafom nae kwenye stage moja.
Time hii zali limemdondokea staa Wizkid wa Nigeria ambae kwa mara ya pili mfululizo mwimbaji staa Chris Brown amemuita kwenye stage na kupafom pamoja huko Ghana juzi ambapo kwa mara ya kwanza alimuita wakati akipafom kwenye mji wa Lagos Nigeria
.
Uhusiano wa wawili hawa unazidi kukua na unatoa nafasi ya wengi kuamini kwamba kolabo au ushirikiano mkubwa zaidikwenye kazi za wawili hawa vinaweza kutokea muda wowote kuanzia sasa.
Ni stori ambayo imechukua headlines sana kwa sababu wasanii wengi wa Marekani wanapokuja Afrika wengine hukataa hata kupiga picha au kukaa sehemu moja backstage na wasanii wa Afrika, wengine pia hawaruhusu kabisa Video Camera iwachukue wakipiga picha na watu manake wanaogopa inaweza kutumika kibiashara.
Hapa chini ni video ambayo inamuonyesha Chris Brown akifanya vitu kwenye stage na staa Wizkid wa, wanaanza kuonekana pamoja kwenye dakika ya nane.
KUMLAZI KWAKUTOONESHA HII VIDEO!!!!!!!1111

Comments
Post a Comment