VIDEO YA "MAMA YEYOO" - G NAKO FT BEN POL YAANZWA KUTENGENEZWA NA DIRECTOR "NISHER" JIJINI ARUSHA.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Nisher alitupia picha hii pamoja na ujumbe huu..... "Namshkuru Mungu Na G-Wara + Ben'Pol kwa siku ya Kwanza ya Shooting ya Mama Yeyoo! Kesho tunaendelea na Kazi!
Comments
Post a Comment