VODACOM TANZANIA KUPITIA SHINDANO LA MAHELA LAENDELEA KUPAMBA MOTO HUKU BW. RAMADHANI KIBANIKE TOKA TABATA AKIPOKEA KITITA
Meneja Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa (kulia)akimkabidhi Ramadhani
Kibanike mfano wa hundi ya Sh5 milioni nyumbani kweke Tabata Mawenzi mara baada
ya kuibuka mshindi wa promosheni ya Mahela inayoendeshwa na Vodacom
Tanzania,Katikati ni mwanaye.
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingwa
(kulia)akichezesha droo ya promosheni ya Mahela unayoendeshwa na kampuni hiyo
eneo la Tabata Mawenzi,Zaidi ya shilingi Milioni 240 zinaendelea
kushindaniwa .
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingwa, akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni alipofika Tabata Mawenzi,kumkabidhi Bw.Ramadhani Kibanike(kushoto) alieibuka mshindi wa shilingi Milioni 5 katika Promosheni ya”MAHELA”inayoendeshwa na kampuni hiyo,mpaka sasa zaidi ya shilingi Milioni 240 zinaendelea kushindaniwa




Comments
Post a Comment