WALIOPIGA PICHA HIZI ZA UCHI WAPO MIKONONI MWA POLISI KINONDONI
Msichana
aliyeitwa Elizabeth Patrick (Eliza) Ambae amekamatwa na jeshi la Polisi
Kanda ya Kinondoni kwa tuhuma za kumtishia maisha mwandishi wa blog

Msichana Lukia Laus ambae bado anatafutwa na jeshi hilo kwa kosa kama hilo la Eliza.
-------------------------------
-------------------------------
Jeshi
la Polisi Kanda ya Kinondoni linamshikilia mmoja wa wakina dada
waliopiga picha za uchi kwa tuhuma za kumdhalilisha mwandishi wa habari
wa blog pamoja DTV bwana Livingstone Mkoi kwa kumtolea lugha za matusi kwa njia ya mitandao ya simu.
Habari za uhakika zilizothibitishwa na mwandishi huyo zilisema kuwa”Ni
kweli jeshi la polisi limemkamata mmoja wa wasichana walipoiga picha
za uchi ambazo zililipotiwa na blog hii hivi karibuni kwa tuhuma za
kunitukana na kunitishia Maisha”
Aidha
akizungumzia zaidi tukio hilo mwandishi huyo alisema kuwa baada ya
kupatikana picha hizo za aibu ambazo hazifai hata kuziona alimpigia simu
mmoja wa wasichana hao aliyefahamika kwa jina la Editha Adolf a.k.a
Eliza kwa lengo la kubalansi stori na baada ya kumshushia tuhuma hizo
aliambulia matusi makali pamoja na vitisho vya kutekwa harafu afanyiwe
kitu mbaya ndipo alipojisalimisha polisi na kupewa taarifa OB/903/2013 KUTOA LUGHA YA MATUSI KUPITIA MTANDAO.
Katika
tukio hilo Editha Adolf a.k.a Eliza ndiye aliyekuwa wa kwanza
kukamtwa ambapo alikamatwa katika nyumba ya kulala wageni ya Summit
iliyopo Kinondoni Mkwajuni ambapo mtuhumiwa namba mbili aliyefahamika
kwa jina la Lukia Laus bado anatafutwa na jeshi hilo ambapo
atakapokamatwa ataunganishwa kwenye kesi hiyo.
Aidha
akizungumza na mwandishi wetu Mkuu wa Kituo cha Polisi Kinondoni
OCD.Mtafungwa alisema kisheria ni kosa kumtishia mtu Maisha pamoja na
kutukana .Hayo yote ni makosa, hivyo ni lazima sheria ichukuwe mkondo wake.
Uchunguzi wa kina uliofanywa na jamiileotz umebaini wasichana hao hawasomi popote isipokuwa wanajishughulisha na biashara ya kuuza miili yao


Comments
Post a Comment